UONGOZI WA YANGA LEO. Mtangazaji: Salome Mlay. Mar 9, 2025 · Kwanza, Uongozi wa YANGA unatoa pole kwa Wanachama, Mashabiki, Wapenzi na wadau wamchezo wa mpira wa miguu waliosafiri kutoka sehemu mbalimbali duniani na kushindwa kushuhudia mechi yetu dhidi ya Klabu ya Simba iliyokuwa ifanyike jana tarehe 8 Machi 2025 katika uwanja wa Benjamin Mkapa. UONGOZI WA YANGA SC TANGU KUANZISHWA | PISHI LA LEO | JULY 24, 2024 | #MamboLeo. Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania, Yanga SC, watashuka dimbani kuwakabili wenyeji wao Wiliete SC ya Angola katika mchezo wa hatua ya awali ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Yanga SC yaanza usajili kwa msimu wa 2025/2026 ikiwalenga nyota wapya, kuongeza mikataba na kuimarisha kikosi kwa mashindano ya kitaifa na kimataifa. Aug 3, 2025 · Yanga itaanza kwa kutetea taji la Ngao ya Jamii kwa kukabiliana na Azam FC katika nusu fainali ya mashindano hayo ambayo yamepangwa kuchezwa kuanzia Septemba 11 hadi 14 mwaka huu. Jun 9, 2025 · “Uongozi wa Klabu yetu ulitii wito huo na kushiriki kwenye kikao kilichofanyika leo, Jumatatu Juni 9, 2025 kwenye ofisi za Bodi ya Ligi Tanzania zilizopo jengo la NSSF Mafao House, Dar Es Salaam, kuanzia saa 4:00 asubuhi. . Jun 9, 2025 · Kupitia Barua ya wazi ya Yanga wameeleza kuwa baada ya majadiliano ya saa kadhaa, Viongozi wa Klabu waliwasilisha msimamo wa klabu kuwa Yanga haitashiriki mchezo namba 184 uliopangwa kufanyika Juni 15, 2025 hadi pale matakwa yao waliyoyawasilisha kwa maandishi kwa badi ya Ligi yatakapotimizwa #WasafiSports". 2 days ago · Matokeo Wiliete Sc vs Yanga Leo 19/09/2025Hatimaye pazia la michuano ya kimataifa kwa ngazi ya klabu barani Afrika linafunguliwa rasmi leo Ijumaa, Septemba 19, 2025. dvx nlpl ugk bpoh vaaf jeznz tjo mttbet npzo ppn